Loading...
「ツール」は右上に移動しました。
利用したサーバー: wtserver2
126いいね 13441回再生

KEKI KWA JIKO LA GESI / MKAA RAHISI NA TAMU SANA ..... MARBLE CAKE WITHOUT OVEN

Ingredients :-
All purpose flour 1 cup
Milk 1/2 cup
Sugar 1/2 cup
Oil / melted butter 1/4 cup
Baking soda 1 tablespoon
Vanilla essence 1 tablespoon
Cocoa powder 1 tablespoon
1 egg


Mahitaji :-
Unga wa ngano Kikombe 1
Maziwa nusu kikombe
Sukari nusu kikombe
Mafuta robo kikombe
Baking soda kijiko 1
Vanilla essence kijiko 1
Cocoa powder kijiko 1
Yai 1
.
.
.
Jifunze kupika keki rahisi na tamu nyumbani kwa jiko la gesi au mkaa kwakutumia kikaangia au frying pan. Unaweza kupika cake hii bila kuwa na oven au vifaa vyovyote.

‪@FoodloversTz‬

コメント